Pages

Saturday, September 29, 2012

SIMBA KAMA KAWA YAISHUSHA AZAM

TIMU ya Simba leo imeshushia kipigo wababe wa Yanga Prison ya Mbeya bao 2-1 kwenye mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa na kuonyeshwa moja kwa moja na kituo cha michezo cha Supersport.

Prison ndio ilikuwa ya kwanza kupata bao kupitia kwa  Lugano Mwangama baada ya kumbabatiza beki wa Simba na mpira kupoteza mwelekeo na kumchanganya mlinda mlango Kaseja Juma Kaseja.
 Simba wamecheza mchezo mzuri sana ila mchezaji wao Amri Maftah alionyeshwa kadi nyekundu.

Felex Sunzu akishangilia bao lake

Wachezaji wa Simba wakishangilia bao la kwanza


Mabao ya Simba yalifungwa na Felex Sunzu na Mrisho Ngassa  moj a kipindi cha pili na la pili lilifungwa kipindi cha pili.

No comments:

Post a Comment