Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, November 4, 2016

NYUKI WAZUA KIZAA ZAA KATIKA MCHEZO WA RUVU SHOOTING NA AFRICAN LYON


 Wachezaji wa timu za Ruvu Shooting wenye jezi rangi ya bluu na wa African Lyon wakiwa wamelala chini ikiwa ni kujihami na makundi ya nyuki ambayo yalikuwa yanapita uwanjani hapo hivyo wachezaji, waamuzi na mabenchi ya wachezaji wa akiba wote walilazimika kulala chini ikiwa ni kujinusuru kutokana na hali hiyo. Katika mchezo huo wa Ligi Kuu  Tanzania Bara. 
Shooting iliibuka na ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na mshambuliaji Issa Kanduru dakika ya 19.
 'Ni kama wanasema 'Nyuki hao bado wapo tuendelee kujificha chini ya viti"

 Watu wazima chini ya viti 'Chezea nyuki wewe'

No comments:

Post a Comment