Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, October 6, 2016

SELCOM YASEMA IMEFANIKIWA KWA 62% MAPATO SIMBA NA YANGA MILIONI 357



 Meneja Miradi wa Selcom,Gallus Runyeta.
Mashabiki 42,123 ndiyo waliingia uwanjani kwa kulipa katika mechi ya Jumamosi kati ya Yanga dhidi ya watani wake Simba.
Mechi hiyo iliyoisha kwa sare ya bao 1-1, Jumla ya Sh milioni 357 zilipatikana kwa mujibu wa kampuni ya Selcom.
Meneja Miradi wa Selcom, Gallus Runyeta amesema hayo ni mapato yaliyopatikana kutumia mfumo wa tiketi za elektroniki.
Aidha, Runyeta alisema mechi zikiwa zinapigwa kwenye Uwanja wa Uhuru, basi watazamaji watakuwa wakitumia mageti ya Uwanja wa Taifa kuingilia uwanjani hapo. Mageti hayo ni B, C na D.



No comments:

Post a Comment