Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, May 7, 2016

MANCHESTER UNITED KUTAFUTA 4 BORA, LEICESTER KUPEWA KOMBE LA UBINGWA

WAKATI MABINGWA WAPYA LEICESTER CITY wakikabidhiwa Kombe Jumamosi Uwanjani kwao King Power Stadium kwenye Mechi yao na Everton, Manchester United, Vigogo waliotwaa Ubingwa wa BPL, Ligi Kuu England, mara nyingi zaidi, mara 13, wapo Ugenini kusaka nafasi finyu ya kufuzu 4 Bora. Leicester,chini ya Meneja Mtaliana ambae sasa anaitwa Muungwana, ‘El Signore’ Claudio Ranieri, wametwaa Ubingwa wa BPL Majuzi huku wakiwa na Mechi 2 mkononi baada ya Wapinzani wao wa karibu Tottenham Hotspur Majuzi kutoka Sare 2-2 na waliokuwa Mabingwa Chelsea.

Tayari Leicester na Spurs zipo 4 Bora na kuacha Nafasi za 3 na 4 kugombewa na Timu kudhaa ili kucheza UEFA CHAMPIONS LIGI, UCL, Msimu ujao.

Moja ya Timu hizo ni Man United ambao ndio watafungua dimba la Mechi za Wikiendi Ugenini huko Carrow Road kucheza na Norwich City, Timu ambayo walifungwa nayo Mwezi Desemba Old Trafford 2-1, na ambayo sasa inapigania.


LIGI KUU ENGLAND
RATIBA

Jumamosi Mei 7
14:45 Norwich v Man United

[Saa 11 Jioni]
Aston Villa v Newcastle
Bournemouth v West Brom
Crystal Palace v Stoke
Sunderland v Chelsea
West Ham v Swansea 

19:30 Leicester v Everton

No comments:

Post a Comment