Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, October 1, 2015

MANCHESTER CITY YAIFUNGA BORUSSIA MONCHENGLADBACH 2-1 UEFA CHAMPIONS LEAGUE


Sergio Aguero ndie aliyeipatia Man City bao kwa mkwaju wa penati usiku huu kwenye Uefa Champions League.

Aleksandar Kolarov akishangilia na wenzake kwenye Ushindi baada ya kupata bao kwa mkwaju wa penati Man City katika dakika za lala salama.
Martin Demichelis kwenye patashika kupata bao mbele ya Julian Korb lakini  Nicolas Otamendi alikuwepo kwenye kasi kuumalizia

Korb akishuhudia kipute kikiziona nyavu
Otamendi ndie aliyeisawazishia bao Man City na kufanya 1-1

Manchester City walifungiwa bao na Nicolás Otamendi aliisawazishia bao dakika ya 65 na dakika za lala salama dakika ya 90 Sergio Agüero aliifungia bao la Ushindi Man City kwa mkwaju wa penati na kufanya 2-1. Huku bao la Borussia Monchengladbach likifungwa na Lars Stindl dakika ya 54

No comments:

Post a Comment