Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Monday, June 29, 2015

SAMUEL ETO’O NDANI YA UTURUKI, KUICHEZEA KLABU YA ANTALYASPOR


Mshambuliaji Samuel Eto’o amejiunga na klabu ndogo ya Antalyaspor iliyopanda kucheza Ligi Kuu ya Uturuki msimu huu.
Makao makuu ya klabu hiyo ni mji wa Antalya ambao Yanga iliwahi kuweka kambi miaka miwili iliyopita. Kabla ya kutua hapo, Eto’o amewahi kuichezea klabu ya FC Barcelona ya Hispania, kabla ya Inter Milan ya Italia, Chelsea ya England na Everton ya England.

No comments:

Post a Comment