Ajali
imetokea Bahi Dodoma na kwenye gari miongoni mwa waliokuwemo ni pamoja
na golikipa Shaban Kado na mchezaji Nizar Khalfan wa Mwadui FC na chanzo
ni tairi la nyuma kuchomoka.
Kwenye interview Kado
amesema hakuna yeyote aliyepoteza maisha isipokuwa majeraha
waliyoyapata akiwemo Shaban Kado ambaye ameumia pia mkono wake wa kulia
ambapo walikua watu wanne ndani ya gari.
No comments:
Post a Comment