Barcelona wamefunga bao zake kupitia kwa Lionel Messi dakika ya 19 kisha Neymar kufunga bao la pili dakika ya 41. Luis Suárez alimaliza bao la tatu dakika ya 77 na mtanange kumalizika kwa 3 - 1.
Paris Saint-Germain bao lao lilifungwa na Zlatan Ibrahimovic dakika ya 15 kipindi cha kwanza.
No comments:
Post a Comment