Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, December 9, 2014

SELCOM YAPIGA TASWA JEKI YA MILIONI 30


Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko wa kampuni ya Selcom, Juma Tumaini Mgori (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Kudhamini wa tuzo za TASWA zinazotarajiwa kufanyika Desemba 12 mwaka huu jijini Dar es Salaam, kushoto ni Meneja Miradi wa Selcom, Gallus Runyeta na kulia ni Mwenyekiti wa TASWA, Juma Pinto.
Add caption

No comments:

Post a Comment