Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, December 10, 2014

FID Q AZINDUA KAMPENI YA KUHAMASISHA VIJANA KUSHIRIKI MCHAKATO WA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA TAIFA LETU

Msanii wa miondoko ya Hip Hop Fareed Kubanda (katikati) akiongea na waandishi wa Habari kuhusu kuhamasisha vijana kushiriki katika mchakato wa uchaguzi wa viongozi wa taifa letu.  Kulia ni Hamis Taletale na kushoto ni Said Fela




No comments:

Post a Comment