
Ligi hiyo itaanza Wikiendi ya Agosti 23 na Mabingwa Watetezi, Atletico Madrid, wataanza na Rayo Vallecano.
Real Madrid na Barcelona zote zitaanzia Nyumbani kwa Real kucheza na Cordoba na Barca kuivaa Elche.


Pia Wikiendi hiyo itakuwepo Dabi ya Jiji la Vila-real kati ya Levante na Villareal wakati Malaga wataanza na Athletic Bilbao ndani ya La Rosaleda.
Mechi ya Marudiano ya El Clasico itakuwa huko Camp Nou wakati Barcelona watakapoikaribisha Real hapo Machi 22, 2015.
Date | Match | Time | Venue |
24 August | Sevilla vs Valencia | ||
24 August | Levante vs Villarreal | ||
24 August | Barcelona vs Elche | ||
24 August | Granada vs Deportivo | ||
24 August | Rayo Vallecano vs Atletico Madrid | ||
24 August | Eibar vs Real Sociedad | ||
24 August | Real Madrid vs Cordoba | ||
24 August | Almeria vs Espanyol | ||
24 August | Malaga vs Athletic Bilbao |

- Real Madrid vs Barcelona – 26 October 2014
- Barcelona vs Real Madrid – 22 March 2015
- Barcelona vs Atletico - 11 January 2015
- Atletico vs Barcelona - 17 May 2015
- Real Madrid vs Atletico Madrid – 14 September 2014
- Atletico vs Real Madrid – 08 February 2015
No comments:
Post a Comment