Mkurugenzi
Mtendaji Kampuni ya Chief Promotion, Amoni Mkoga akitoa hotuba yake
wakati wa semina ya wasanii wa Muziki pamoja na Bongo movie iliofanyika
katika ukumbi wa Vijana Kinondoni jijini Dar es Salaam 21 Februari-2014
lengo la semina hiyo ilikuwa kuzungumzia hakimili kwa wasanii pamoja na
kujiunga na mifuko ya jamii ili kujiwekea akiba ya baadae (kushoto),
Afsa Mwandamizi wa Huduma kwa Mlipa Kodi TRA, Msafiri Mbibo (watatu
kulia), Kaimu Afsa Kumbumbuku COSOTA Bw Philemon Kilaka, na wakwanza
kulia Kaimu Mwanasheria COSOTA Bw,Zephania Lyamuya.
Mkuu
wa Mawasilano Promosheni na Uhamasishaji wa Mfuko wa Uthibiti wa Mfuko
Hifadhi Nchini (SSRA), akiwaelezea wasanii kuhusiana na mifuko
mbalimbali ya hifadhi ya jamii kama NSSF,PSPF ,LAPF,GEPF,PPF,NHIF juu
ya faida pale wapofikia muda wakustaafu kazi kisanii au kupatwa na
matatizo mbalimbali (katika), Mwanasheria COSOTA Bw,Zephania Lyamuya
(kusho), Kaimu Afsa Kumbumbuku COSOTA Bw. Philemon Kilaka.
Afsa
Mwandamizi wa Huduma kwa Mlipa Kodi TRA, Msafi Mbibo akiwaelezea
wasanii mwongozo wa utumiaji mashine maalumu za kodi za kielekitroniki
(EFDs), wakati wa semina ya hatimiki kwa sanii mbalimbali wa bongo movie
pamoja na muziki,
Kaimu Afisa Kumbumbuku COSOTA Bw Philemon Kilaka.akiwalezea wasanii jinsi hakimiliki na mikataba katika kazi za sanaa.
Afisa
wa Mfuko wa Penseni (PSPF), Haji Jamadary, nae akiwaelezea wasanii
kuhusiana na uchangiaji katika mpango wa hiyari wakati wa kutegemea
upatikanaji wa kipato cha ziada kwa ajiliya akiba.
Mwenyeki
wa Bongo Movie, Steven Mengeze akiwasisitiza wasanii wenzake kuhudhuria
kwenye semina pamoja na kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii na
namna ya kufuatilia upatikanaji wa haki za kazi zao za sanaa.
Wasanii mbalimbali wakifuatilia kwa umakini mada mbalimbali wakati wa semina hiyo.
Msanii
Aliy Mango akionesha umahiri wake wakucheza na nyoka wakati wa semina
hiyo.(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE DAR ES SALAAM).
No comments:
Post a Comment