Kipa Friedel akipongezwa baada ya kuokoa mkwaju wa penati.
Mechi ya Raundi ya 4 ya Capital One Cup Usiku huu imeamuliwa kwa Mikwaju ya Penati baada ya Tottenham na Hull City kutoka Sare ya 1-1 katika Dakika 90 na 2-2 katika Dakika 120 na Mshindi ni Spurs kwa Penati 8-7.

Kocha wa Tottenham Andre Villas-Boas akisalimiana na kocha wa Hull Steve Bruce kabla ya mtanange.
Dakika ya 16 mchezaji wa Spurs Gylfi Sigurdsson anaipatia bao la kwanza Tottenham wakicheza kwenye uwanja wao wa White Hart Lane kwenye mchezo wa Raundi ya nne ya CAPITAL ONE CUP. Kipindi cha pili dakika ya 55 Hull wakaongeza mashambulizi kwenye lango Spurs na hatimaye kipa wao kujifunga bahati mbaya na mtanange kugeuka kwa upande wa Spurs kwa wenyeji kusawazisha bao hilo na kufanya 1-1.

Friedel akijitupa na kuokoa shuti kali la mkwaju wa penati

Kipa wa Spurs Friedel akipongezwa kwa kazi poa!!

Dembele, Kane, Walker, Vertonghen, na Defoe wote furaha baada ya kusonga hatua inayofuata.
No comments:
Post a Comment