Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Sunday, September 22, 2013

LIVERPOOL ILIPOFUNGWA NA SOUTHAMPTON 1-0 KWENYE ENGLISH PREMIER LEAGUE:


Dejan Lovren akishangilia bao lake hapa na kupongezwa na wachezaji wenzie.Muuaji Dejan Lovren akishangilia mbele ya mashabiki wa Southampton baada ya kuwatungua majogoo Liverpool jioni hii. Bao hilo limefungwa dakika ya 53  kwa kichwa kipindi cha pili.Steven Gerrard ...Hoi!! kwa kipigo hicho na hapa alionekana kuumia sana!!Off target: Daniel Sturridge show his anguish after missing a chance
Daniel Sturridge baada ya kukosa bao la wazi hapa
Kocha Brendan Rodgers wa Liverpool akiwa kwenye hali ambayo hakuitarajia na kipigo hicho cha nyumbani kwao Anfield kilichodumu muda wote wa dakika 90 na kikiwa ni kibano cha kwanza kwa msimu huu mpya wa 2013/2014.
Lovren akiichoma nyumba ya Liverpool hapa kwa kichwa
Frii kiki ikipigwa na Steven Gerrard hapa

Mamadou Sakho na Nathaniel Clyne wakipigania mpira hapa!!
Luis Suarez ameutazamia mpira huu akiwa nje Anfield
Adam Lallana akimkinga Steven Gerrard
VIKOSI:
Liverpool: Mignolet 7: Toure 5, Skrtel 5 (Alberto 72mins), Agger 5 (Enrique 56mins), Sakho 5: Gerrard 6, Lucas 6: Henderson 6, Aspas 5 (Sterling 46mins 5), Moses 7: Sturridge 5.
Subs not used: Jones, Ibe, Kelly, Wisdom.
Southampton: Boruc 8: Clyne 7, Lovren 7 Fonte 7, Shaw 7: Wanyama 7, Schneiderlin 7: Rodriguez (Cork 89mins), Lallana 8 (Ward-Prowse 75mins), Osvaldo 6; Lambert 6 (Davis 61mins 6).
Subs not used: Davies, Ramirez,  Chambers, Hooiveld.
Booked: Clyne.
Goals: Lovren 53.
 
RATIBA/MATOKEO

Jumamosi 21 Septemba
14:45 Norwich City  0 v  1 Aston Villa
17:00 Liverpool 0 v 1 Southampton
17:00 Newcastle United 2 v 3 Hull City
17:00 West Bromwich Albion 3 v 0 Sunderland
17:00 West Ham United 2 v 3 Everton
19:30 Chelsea 2 v 0 Fulham

Jumapili 22 Septemba
15:30 Arsenal v Stoke City
15:30 Crystal Palace v Swansea City
18:00 Cardiff City v Tottenham Hotspur
18:00 Manchester City v Manchester United

No comments:

Post a Comment