Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, September 18, 2013

ARSENAL YAIFUNGA OLYMPIQUE DE MARSEILLE 2 -1 KWENYE UEFA CHAMPIONS LEAGUE

Arsenal wakiwa Ugenini huko Ufaransa kucheza na Marseille kwenye Mechi ya Kundi F la UEFA CHAMPIONZ LIGI, wamepata bao kipindi cha pili dakika ya 65 baada ya kipindi cha kwanza kumalizika wakiwa nguvu sawa ya bila kufungana. Kipindi cha pili wamepata bao kupitia mshambuliaji Theo Walcott baada ya mpira kupigwa kama kona na hatimaye kumkuta Theo Walcott peke yake na kuachia shuti moja kwa moja nyavuni.
Early action: Olympique Marseille's Giannelli Imbulla (L) vies for the ball with Arsenal's Aaron Ramsey
RATIBA/MATOKEO:
[Mechi zote Saa 3 Dakika 45 Usiku]
Jumatano 18 Sep 2013
FC Schalke 04 v FC Steaua Bucureşti
Chelsea FC 1 v 2 FC Basel 1893
Olympique de Marseille 0 v 1 Arsenal FC
SSC Napoli 2 v 1 Borussia Dortmund
FK Austria Wien v FC Porto
Club Atlético de Madrid v Football Club Zenit
AC Milan v Celtic FC
FC Barcelona 4 v 0 AFC Ajax

No comments:

Post a Comment