Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, June 26, 2013

EKOTO APEWA CHETI CHA STAREHE BAADA YA SOKA


Wish you were here

Hakika kwa vitita vya pesa wanavyolipwa wanaweza kufanya lolote katika kukufuru raha za dunia mara baada ya misimu ya ligi kwisha
DANNY SIMPSON (IBIZA)
Beki wa Klabu ya soka ya Newcastle  ambaye ameachwa na Newcastle Danny Simpson ameonekana katika visiwa vya  Ibiza akila Raha.
 
Kijana huyo mwenye umri wa 26 alikuwa amekamata bia yake akiwa anaonekana kwenda kula starehe katika visiwa vya Ibiza huko Hispania alikuwa amevalia kofia nyekundu ya baseball na Bukta, Simpson hakupoteza muda pale alipoaalikwa na rafiki zake na kuichagiza sherehe.
Danny Simpson
Good time: Simpson having a laugh in Ibiza

Kiss in front of Danny Simpson
Kiss: Two females lock lips in front of Simpson
Baada ya Nyota kupigana  wa muziki wa  pop Tulisa Contostavlos, beki huyo wa kulia anaoneka kumchangamkia binti huyo ambaye yupo singo na kuanza kuchati nae  macho yake yote yakiwa kwenye bikini.
 
Wachezaji hawa wa QPR na West Brom wameahusishwa na kujiunga na klabu wanayotaka baada ya kuwa huru, Ofa kibao kutoka Italia huku Torino ikisema iko tayari kunasa saini ya mchezaji huy.
 
Inaaminika kuwa mchezaji huyo wa zamani wa  Manchester United ataendelea kusalia katika jiji la  London.
Danny Simpson

Danny Simpson
Danny Simpson
Attention: Simpson chatted to a number of females at t
EDIN DZEKO
Kama angejua angekuja Unguja yeye amechagua kuogelea na Dolphin na kwa utani unaweza sema "fanya mambo mengine kabla hujafa',
 
Mshambuliaji wa  Manchester City  Edin Dzeko ameamua kujikita zaidi katika kuogolea baada ya msimu mzima wa ligi kuisha.
Akiwa amevalia kizibao cha kuogelea, na alionekana akiwa na cheko zuri zaidi, Dzeko ameweka picha katika mtandao wake binafsi na akiwa ameandika  'Mimi  na Mwenzangu Dolphin'.
 
Raia huyo wa  Bosnia  'alipose kwa kuuliza swali 'Nani kaleta dolphins nje?'
Edin Dzeko
Pucker up: Dzeko shares a kiss with Blade the dolphin

Edin Dzeko
Baller: Dzeko and his new friend
Baada ya kula raha hizi, Dzeko atarejea Manchester, na inawezekana kuwa asikae sana klabuni hapo kwani anaweza kuondoka klabuni hapo na kwenda Italia.
 
Tetesi nyingi zimemuhusisha kuwa timu yake ya City inaweza kumpeleka mshambuliaji huyo Napoli, ambayo kwa sasa inanolewa na Rafael Benitez, wakibadilisha na mshambuliaji kutoka  Uruguay  Edinson Cavani
 
DAVID SEAMAN NA  ROBBIE FOWLER (SINGAPORE)
Mlinda wa zamani wa  Arsenal  David Seaman aliposti picha yake akiwa na mchezaji wa zamani wa Liverpool  Robbie Fowler naye alionekaa akila raha kwa kubebwa juu juu  Singapore.
 
Mwamuzi wa zamani wa Uingereza alionekana nyuma ya wachezaji hao  Peter Reid lakini Seaman kipa wa zamani alitweet  pembeni ya picha yake 'Sikumgusa huyu jamaa aliyenibeba', katika mkwaju wa penati aliyopewa mwaka 97.
 
Fowler alipewa penati  katika mechi ya ligi ya kuu mwaka 1997 kati ya Majogoo na Bunduki .
Seaman, Fowler and Reid
Piggyback: David Seaman laughs on the shoulders of Robbie Fowler as Peter Reid (bottom right) makes sure the former keeper doesn't fall
 
Katika kitendo bora cha kiuana michezo Fowler alipost kwenye Twita akisema Seaman hakunigusa na  penati ile  sikustahili kupewa .
Lakini mwamuzi alitumpilia mbali malalamiko hayo na kuamuru mkwaju wa penati upigwe na Fowler alikosa mkwaju lakini  Jason McAteer alikuwa karibu na akamalizia mpira ule na kuingia wavuni.
 
BENOIT ASSOU-EKOTTO (MLUKA ANGANI )
Beki wa kushoto wa Tottenham Benoit Assou-Ekotto alijiunga na wachezaji wanaocheza ligi ya Uingereza katika mchezo wa kuruka angani.
 
Lakini raia huyo wa Camerun pia anazungumza Kifaransa alikuwa akiruka kutoka kwenye ndege  akitumia parachuti !

Skydive
Big hint: The skydive stickers Assou-Ekotto used to joke with his Twitter followers

Assou-Ekotto
Brave: Assou-Ekotto shows no nerves by chilling out before his jump

Assou-Ekotto
Great height: Tottenham defender Assou-Ekotto jumped 13,500 feet out of a plane

Benoit Assou-Ekotto
Achievement: Assou-Ekotto's skydive certificate

No comments:

Post a Comment