Neymar afaulu vipimo vya afya.
Weight 10st 3lbs. Height 5ft 9in. Neymar ni mrefu kwa sentimita sita zaidi ya Messi lakini pia ni mwepesi kwa kilo mbili kwa Messi.
Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Brazil amejiunga sasa na akina Lionel Messi, Xavi, Andres Iniesta na Daniel Alves ndani ya klabu hiyo hali ambayo inaonekana kuamsha hamasa mpya kwa washambuliaji wakali wa America ya kusini ambayo wangetamani kuelekea barani ulaya
Barcelona imesaini mkataba wa miaka mitano na mshambuliaji huyo mbele ya Rais wa klabu hiyo President Sandro Rosell.' |
Familia ya Neymar imefurahishwa na kuelekea kwa Neymar katika klabu ya Barcelona kama walivyotupia picha hapo chini ni dada yake akiwa katika jezi ya Barcelona. |
Pichani anaonekana mpenzi wake na Neymar Bruna Marquezine akiwasili Barca. |
Neymar akigonga menu kabla ya kutambulishwa.
Neymar akiwa na baba yake wakipiga picha ya ukumbusho kabla ya kuanza zoezi la vipimo.
Neymar akiposti picha yake kupitia Instagram akionyesha furaha yake ya kujiunga na Barcelona.
Neymar akiwa na uzi wa mazoezi wa Barcelona kwa mara ya kwanza.
Getini Nou Camp hali ilikuwa namna hii mashabiki na watalii wakimpa salam japo kwa mbali.
Hizi ni baadhi ya picha wakati akiwasili Nou Camp
No comments:
Post a Comment