Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, May 23, 2013

KUMBE LADY JAY DEE ALISHUHUDIA PROFESA J AKIKABIDHIWA KADI YA CHADEMA


 Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi akimpongeza Profesa J  baada ya kumkabidhi kadi ya uanachama ya kujiunga na Chadema mjini Dodoma leo. Kulia ni Mkurugenzi Habari na Uenezi wa Chama hicho, John Mnyika
 Wabunge wa Chadema kutoka kushoto, Ester Matiko, Grace Kiwelu, Profesa J, Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi na Mbunge wa Viti maalum, Sabrina Sungura wakionyesha alama ya Chama baada ya kumkabidhi kadi
 Lady Jaeed (kushoto), Mbunge wa viti maalum, Grace Kiwelu,  Sabrina Sungura wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa kadi  Profesa J
Lady Jaeed (kushoto), Mbunge wa viti maalum, Grace Kiwelu,  Sabrina Sungura wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa kadi  Profesa J.
 Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi akimkabidhi kadi ya uanachama mwanamziki nguli wa Mziki wa Kizazi kipya, Profesa J Mjini Dodoma leo
 Profesa J akizungumza muda mfupi baada ya kukabidhiwa kadi ya uanachama
 Lady Jaydee akimpiga picha Profesa J wakati  akikabidhiwa kadi ya uanachama
Lady Jaydee, akimpiga picha Profesa J wakati  akikabidhiwa kadi ya uanachama

No comments:

Post a Comment