Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, May 29, 2013

DIAMOND PLATINUMZ AFUNGUKA KUHUSU WEMA, PENNY, JOKATE NA AUNT EZEKIEL


diamond-zamaradi-mketema-wema-sepetu

diamond-zamaradi-mketema-wema-sepetu-0
Msanii Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amefunguka kupitia kipindi cha Take One cha Clouds TV, kuwa hana tena mapenzi na aliyekuwa mpenzi wake, mrembo Wema Isaack Sepetu. Akihojiwa na Zamaradi Mketema katika kipindi hicho, Diamond ameeleza anavyomfeel sana mpenzi wake wa sasa Penny ambaye anadai anamuheshimu na wala hamsaliti.

Kuhusu kutoka kimapenzi na wasanii wa Filamu Bongo, Irene Uwoya pamoja na Aunt Ezekiel, Diamond ameruka kwa kusema kuwa anamheshimu sana Uwoya wakati akidai kuwa Aunt alikuwa demu wa mshikaji wake.

Mkali huyo ameweka wazi pia kuhusu mapenzi yake na Jokate ndiye anataraji awe mama watoto wakee kwa kummwagia sifa kadhaa na kueleza kuwa yeye ndiye mwenye makosa maana Jokate alikuwa innocent na hakuwahi kumkosea japo aliachana naye na kurudi kwa Wema kabla hajaangukia kwa mrembo Penny.

No comments:

Post a Comment