Timu zote mbili zilianza kwa kukamiana sana kila timu ikitaka kumfunga mwenzake.Timu ya City ikifanya mashambulizi zaidi ya United. Dakika ya 29 mchezaji wa Manchester City David Silva akaunawa mpira kwa kujificha na mwamuzi Mike Dean akamwona na kumpa kadi ya njano.
Dakika ya 42 Vicenty Kompany akamfanyia ndivyo sivyo Ashley Young na kupewa nae kadi ya njano. kipindi cha pili kuingia dakika ya 51 mchezaji wa City Milner akaipatia bao City baada ya Ryan Giggs kurudisha mpira nyuma kwa pasi hewa. Dakika ya 59 mchezaji Phill Jones anaipatia bao Manchester United na kusawazisha baada ya Rvp kupiga mpira wa pigo kubwa yaani direct free kick hadi golini. Patashika inatokea kati ya Jones kupiga kichwa na mpira unamgonga Kompany kuishilia nyavuni na kuwa 1-1. Dakika ya 78 United wakazidiwa nguvu na mchezaji kutoka benchi Aguero na hatimaye akawachoma bao la pili na kufanya 1-2 dhidi ya United, bukobasports.com yashuhudia mtanange huo usiku huu.
Kocha wa City Mancini na kocha wa United Ferguson wakisalimiana kabla ya mtanange usiku huu.
Welbeck akiachia shuti kali kujaribu kufunga
Mchezaji wa United Patrice Evra akipiga mpira kwa kichwa juu James Milner to a header
Van Persie akiachia shuti kali na hatimaye mchezaji Kompany kuzuia shuti hiloVan Persie na Kompany wakichuana vikali uwanjani old Trafford usiku huu.
VIKOSI:
Man United: De Gea; Rafael, Ferdinand, Jones, Evra; Carrick, Giggs; Young (Kagawa 90+2), Rooney (Hernandez 85), Welbeck (Valencia 80); Van Persie.
Subs not used: Lindegaard, Nani, Cleverley, Buttner.
Booked: Rooney, Rafael, Valencia.
Goal: Kompany (OG) 59.
Man City: Hart; Zabaleta, Kompany, Nastasic, Clichy; Y Toure, Barry; Milner, Silva (Lescott 89), Nasri (Aguero 71); Tevez (Javi Garcia 90+4).
Subs not used: Pantilimon, K Toure, Kolarov, Dzeko.
Booked: Silva, Kompany, Tevez, Barry, Zabaleta.
Goals: Milner 51, Aguero 78.
Referee: Mike Dean.
MSIMAMO ULIVYO KWA SASA TIMU 5 ZA JUU
MECHI 3 ZA MANCHESTER UNITED ZIJAZO
Tarehe 14.4. 2013 - Stoke (A) Prem
17.4.2013 - West Ham (A) Prem
22.4.2013 - Aston Villa (H) Prem
MECHI 3 ZA MANCHESTER CITY ZIJAZO
Tarehe 14.4.2013 Chelsea (A) FAC
15.4.2013 West Brom (H) Prem (Umehairishwa)
17.4.2013 Wigan (H) Prem

Milner na Ryan Giggs kwenye patashika
Mashabiki wa United wakiwa wamebeba bango lao(banner) kabla ya mtanange huo.
Hapa hupiti hata ukizunguka....mchezaji wa City Tevez akiwa amezungukwa na wachezaji wa United
Kompany akionekana kwenye picha na refa Dean baada ya kupewa kadi ya njano
Wachezaji wa City wakimpongeza Milner
Wachezaji wa City wakimpongeza Milner
Wachezaji wa City wakimpongeza Milner baada ya kufunga bao la pili.
Kipa wa City Hart akidaka hewa baada ya frii kiki ya Van Persie na Kompany kujifunga
Mchezaji Jones aliyesababisha bao la United kupatikana baada Kompany kujifunga akishangilia
Kazi kweli kweli...Tumejifunga...
Kimbiza kimbiza ya Aguero ikazaa bao...
Kimbiza kimbiza ya Aguero ikazaa bao...
Fantastc finish ...Aguero akishangilia bao lake la pili na la ushindi.
VIKOSI:
Man United: De Gea; Rafael, Ferdinand, Jones, Evra; Carrick, Giggs; Young (Kagawa 90+2), Rooney (Hernandez 85), Welbeck (Valencia 80); Van Persie.
Subs not used: Lindegaard, Nani, Cleverley, Buttner.
Booked: Rooney, Rafael, Valencia.
Goal: Kompany (OG) 59.
Man City: Hart; Zabaleta, Kompany, Nastasic, Clichy; Y Toure, Barry; Milner, Silva (Lescott 89), Nasri (Aguero 71); Tevez (Javi Garcia 90+4).
Subs not used: Pantilimon, K Toure, Kolarov, Dzeko.
Booked: Silva, Kompany, Tevez, Barry, Zabaleta.
Goals: Milner 51, Aguero 78.
Referee: Mike Dean.
MSIMAMO ULIVYO KWA SASA TIMU 5 ZA JUU
2012-2013 Barclays Premier League Table | |||||||||||||||||||||||
Overall | Home | Away | |||||||||||||||||||||
POS | TEAM | P | W | D | L | F | A | W | D | L | F | A | W | D | L | F | A | GD | Pts | ||||
1 | Manchester United | 31 | 25 | 2 | 4 | 71 | 33 | 14 | 0 | 2 | 40 | 17 | 11 | 2 | 2 | 31 | 16 | 38 | 77 | ||||
2 | Manchester City | 31 | 19 | 8 | 4 | 57 | 27 | 11 | 3 | 1 | 35 | 11 | 8 | 5 | 3 | 22 | 16 | 30 | 65 | ||||
3 | Chelsea | 31 | 17 | 7 | 7 | 61 | 33 | 10 | 4 | 2 | 35 | 13 | 7 | 3 | 5 | 26 | 20 | 28 | 58 | ||||
4 | Tottenham Hotspur | 32 | 17 | 7 | 8 | 55 | 40 | 8 | 5 | 3 | 24 | 17 | 9 | 2 | 5 | 31 | 23 | 15 | 58 | ||||
5 | Arsenal | 31 | 16 | 8 | 7 | 61 | 34 | 9 | 3 | 3 | 39 | 20 | 7 | 5 | 4 | 22 | 14 | 27 | 56 |
MECHI 3 ZA MANCHESTER UNITED ZIJAZO
Tarehe 14.4. 2013 - Stoke (A) Prem
17.4.2013 - West Ham (A) Prem
22.4.2013 - Aston Villa (H) Prem
MECHI 3 ZA MANCHESTER CITY ZIJAZO
Tarehe 14.4.2013 Chelsea (A) FAC
15.4.2013 West Brom (H) Prem (Umehairishwa)
17.4.2013 Wigan (H) Prem
No comments:
Post a Comment