Mchezaji namba 7 mgongoni na raia wa Czech Republic na mwenye urefu 5' 8'' (1.73m) na 150 lbs (67.9 kg)Tomas Rosicky Ndiye aliyeipandisha leo Gunners nafasi ya nne wakiwa na Alama 56 juu ya Chelsea wenye alama 55 amabao wanacheza kesho nyumbani kwao Darajani na Sunderland. Bao za Gunners zimefungwa dakika ya 20 na 50 huku West Bromwich Albion wakipata bao la pekee la mkwaju wa penati dakika ya 71 kupitia mchezaji wao James Morriso.
Mchezaji wa zamani wa Borussia Dortmund Tomas Rosicky leo ndiye aliyewapa raha gunners baada ya kuwapatia ushindi na kuwaweka nafasi ya 4 bora wakiwa na alama 56.
Rosicky akitupia bao hapa na kuwapa ushindi Arsenal
Mchezaji Tomas Rosicky akipiga mpira kwa kichwa kabla ajawafungia Arsenal na kuipatia ushindi jioni hii. Gunners wameshinda 2-1 na kupanda hadi nafasi ya nne wakiwa na alama 56 juu ya Chelsea watakao cheza kesho na Sunderland saa 11.00 jioni.
Mchezaji wa West Bromwich Albion Jerome Thomas (kushoto) akipambana na Bacary Sagna
Arsenal leo wapepanda nafasi ya nne baada ya kuifunga West Browwich bao 2-1, Bao zilizofungwa na mchezaji wao Tomas Rosicky dakika ya 20 na dakika ya 50. Pongezi kwao Gunners!!
MSIMAMO WA TIMU NNE ZA JUU.

2012-2013 Barclays Premier League Table | |||||||||||||||||||||||
Overall | Home | Away | |||||||||||||||||||||
POS | TEAM | P | W | D | L | F | A | W | D | L | F | A | W | D | L | F | A | GD | Pts | ||||
1 | Manchester United | 30 | 25 | 2 | 3 | 70 | 31 | 14 | 0 | 1 | 39 | 15 | 11 | 2 | 2 | 31 | 16 | 39 | 77 | ||||
2 | Manchester City | 30 | 18 | 8 | 4 | 55 | 26 | 11 | 3 | 1 | 35 | 11 | 7 | 5 | 3 | 20 | 15 | 29 | 62 | ||||
3 | Tottenham Hotspur | 31 | 17 | 6 | 8 | 53 | 38 | 8 | 4 | 3 | 22 | 15 | 9 | 2 | 5 | 31 | 23 | 15 | 57 | ||||
4 | Arsenal | 31 | 16 | 8 | 7 | 61 | 33 | 9 | 3 | 3 | 39 | 20 | 7 | 5 | 4 | 22 | 13 | 28 | 56 |
No comments:
Post a Comment