Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Monday, February 11, 2013

PROFESA JAY AZIMIKIA WAKALI WA MIC KWA KUIMBA NYIMBO ZAKE KWA UFASAHA

Mshiriki wa kinyang’anyiro hicho, Bahati Charles Kuyela, kutoka Kigamboni akionesha ‘maukali’ yake.
Profesa Jay (kulia) na Nick Mbishi wakifurahia baada ya kunogeshwa na wakali hao.
Wakali hao wakionesha jinsi ya kuchana mistari jukwaani baada ya washiriki hao kumaliza mpambano.
DJ Juice akipangilia ‘beat’ katika kipute hicho.
Majaji wa kipute hicho kutoka kushoto ni Abdallah Mrisho ‘Abby Cool’, John Dilinga ‘DJ JD’ na Ally Mohammed ‘Baucha’ wakifuatilia kwa makini mpambano huo.
Kundi la TOT Taarab likifanya mambo baada ya kinyang’anyiro hicho.
Malkia wa mipasho, Khadija Kopa (kulia) akiserebuka na mashabiki wake ukumbini hapo.
 
WASHIRIKI wa kinyang’anyiro cha kumsaka ‘The Mic King’ kinachotimua vumbi kila Jumapili ndani ya Ukumbi wa Dar Live ambacho mshindi anatarajiwa kujinyakulia gari jipya la kisasa, jana usiku walimtoa jasho mkali wa rap hapa nchini, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ kwa kuchana mistari ya nyimbo zake kiufasaha.

No comments:

Post a Comment