MABONDIA MANENO NA KASEBA KUONYEHSANA KAZI MACHI 2 MWAKA HUU MAGOMENI KONDOA
Bondia Maneno Osward kushoto akitunishiana msuli na
Japhert Kaseba wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa wa Taifa Dar es
salaam leo utakaosimamiwa na PST March 2 katika ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa
Mratibu wa mpambano wa ubingwa wa Taifa, Pendo Njau
katikati akiwanyoosha mikono juu mabonia Maneno Osward kushoto na Japhert Kaseba wakati wa kutambulisha mpambano
wao wa ubingwa wa Taifa utakaosimamiwa na
PST March 2 katika ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa
Bondia Maneno Osward kushoto akitunishiana msuli kwa
usongo na Japhert Kaseba wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa wa
Taifa utakaosimamiwa na PST March 2 katika ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa
Mratibu wa mpambano wa ubingwa wa Taifa, Pendo Njau
katikati akiwangalia mabondia Maneno
Osward kushoto na Japhert Kaseba
wanavyotunishiana misuri Dar es salaam wakati wa kutambulisha mpambano
wao wa ubingwa wa Taifa utakaosimamiwa na
PST March 2 katika ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa
No comments:
Post a Comment