LEO kwenye English Premier League Timu ya Arsenal imeweza kuibuka na ushindi wa
bao 2-0 dhidi ya Aston Villa. Bao
zilizofungwa na mchezaji wao machachali Santi Cazorla, goli la kwanza amelifunga mapema dakika
ya 6 lakini Andreas Weimann
alisawazisha kwa Shuti la Mita 20 kipindi cha
pili dakika ya 68 na kufanya 1-1.
Dakika ya 85 dakika 5 kabla Mechi kumalizika Beki Nacho
Monreal alimtengezea Cazorla na hatimaye kutofanya kosa na kuweza kuziona nyavu
za timu pinzani Aston Villa na kuipatia ushindi huo timu yake Arsenal. Ushindi huu umeiweka Arsenal nafasi ya 5 wakiwa na pointi 48 nyuma ya pointi 1 ya Spurs wanaocheza
kesho wenye pionti 49.
Nathan Baker akiondosha mpira kwa Carl Jenkinson

Kocha wa Aston Villa Paul Lambert akiwaelekeza wachezaji
wake

Jack Wilshere akiongoza mpira

Gabriel Agbonlahor akigombea mpira kutoka kwa Carl
Jenkinson

Dakika ya 6 Cazorla akiziona nyavu... hapa akifurahia

Ushindi mtamu..

Arsene Wenger
akiwaonesha kwa ishara wachezaji wake ili kuishinda timu hiyo ya Aston
Villa.

Andreas Weimann akiipatia timu ya Aston Villa goli la
kusawazisha dakika ya 68

Santi Cazorla akiipatia goli la ushindi dakika 5 kabla ya
mpira kuisha

Arsene Wenger hakuwa sawa leo hii pamoja na kushinda mechi
hiyo...
Arsene Wenger akitoa mifano ya makosa ambayo Wachezaji
wake wanajisahau sana na hatimaye kuwa wanafungwa mara kwa mara.
Wachezaji wa Arsene Wenger wakipongezana.
VIKOSI:
Arsenal:
Szczesny, Jenkinson (Podolski 76), Mertesacker, Vermaelen, Monreal, Diaby
(Ramsey 60), Arteta, Cazorla, Wilshere, Walcott (Koscielny 90), Giroud.
Subs not
used: Mannone, Rosicky,
Oxlade-Chamberlain, Gervinho.
Booked: Diaby.
Goals: Cazorla
6, 85.
Aston Villa: Guzan, Lowton, Clark, Baker,
Bennett, Delph, Westwood (El Ahmadi 72), N'Zogbia (Dawkins 82), Weimann,
Benteke, Agbonlahor.
Subs not used: Marshall, Holman, Sylla, Bowery,
Lichaj.
Booked: Lowton, Delph.
Goals: Weimann
68.
Att: 60,079
Referee: Martin
Atkinson
Post a Comment