Kasey Keller mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa la Marekani akizungumza ufadhili wa makapuni kwenye soka na umuhimu wa vyombo vya habari kwenye kutangaza soka wakati wa semina iliyofanyika leo |
Wadau wa soka na waandishi wa habari wakisilikiza kwa makini |
Kasey Keller akizungumza, kulia ni rais wa shirikisho la soka nchini Leodgar Tenga |
Picha ya pamoja ya ujumbe wa Seatlle Sounders na rais wa shirikisho la soka |
No comments:
Post a Comment