Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Monday, January 21, 2013

MATOKEO YA MATAIFA YA AFRIKA (AFCON)

Mali imeshinda Mali kwa bao moja kwa bila katika mechi ya kundi B ya kuwania kombe la mataifa ya Afrika
Ivory Coast inajiandaa kuanza kampeini yake ya kuwania kombe la mataifa ya Afrika siku ya Jumanne dhidi ya Togo. Tunisia nayo inajiandaa kuchuana na Algeria katika mechi nyingine kali ya kundi D siku ya Jumanne.
Hatimaye michuano ya Fainali za Kombe la Afrika, AFCON inayofanyika nchini Afrika Kusini imeanza kuzaa magoli. Mechi ya kwanza ya kundi B kati ya Ghana na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, DRC, imemalizika kwa kufungana magoli 2-2
Mechi ya kwanza ya fainali za kuwania kombe la mataifa ya Afrika imemalizika nchini Afrika Kusini, huku wenyeji Bafana Bafana wakitoka sare ya kutofungana bao lolote na Cape Verde
Katika mchezo wa ufunguzi wa kundi B

No comments:

Post a Comment