Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Sunday, January 13, 2013

BONANZA LA WACHEZAJI WA ZAMANI LILILOFANYIKA VIWANJA VYA SIGARA TEMEKE NA KUDHAMINIWA NA NMB BENKI LATIA FORA

Idd Moshi aka Mnyamwezi akisalimia na Angetile Oseah baada ya mchezo kumalizika, Mirambo Tabora ilifungwa bao 2-1 na Kombaini ya Dar es salaam




Shabiki akitoa burudani na Mbwiga kwenye bonanza

Mwamuzi Mwandike akitoka uwanjani baada ya mchezo kumalizika

Mirambo Tabora waliovaa jezi za njano na kombaini ya Dar es salaam waliovaa blue wakitoka uwanjani baada ya mchezo kumalizika
Hiki ni kikosi cha Milambo ya Tabora.
Hiki ni kikosi cha Kombaini ya wachezaji mbalimbali kilichocheza na Milambo.
Hawa ni wachezaji wa Yanga wa zamani Salvatori Edward Agustino na Silvatus Ibrahimu enzi hizo akiitwa polisi.
Waamuzi wa zamani kutoka kushoto ni Christopha Mpangala, Victor Mwandike, mzee Ally na mzee Makwega.
Simba na Bandari Iddi Selemani Nyigu akimkaba mtu mpaka kivuli kama zamani.

Iddi Selemani na Willy Martini gari kubwa.
Barnabasi Sekelo akikokota mpira.
Mlinzi wa Simba Kamba Lufo akimdhibiti mshambuliaji wa Bandari.
Abubakari Kombo na Primus Kasonzo wakati wa mapumziko.
Abdalah Kaburu wa Ushirika ya Moshi mwenye jezi nyekundu timu yake ilishindwa kushiriki hii leo.

Omari Hussein maarufu kama Keegan alikuwepo katika Bonanza.
Milambo wakisalimiana na Dar Kombaini kabla ya mchezo baina yao.         

No comments:

Post a Comment