Barcelona
KIUNGO wa Dalian Aerbin, Seydou Keita, amerudi kujifua Barca
akijiandaa na fainali za Mataifa ya Afrika mwakani baada ya Ligi Kuu ya China
kufikia ukiongoni.
Keita, ambaye alikuwa mchezaji wa
kwanza kusajiliwa na Josep Guardiola wakati akiinoa miamba hiyo Camp Nou,
aliichezea Barca jumla ya mechi 188 kati ya 2008 na 2012, huku akishinda mataji
14 na 'Blaugrana' hao
No comments:
Post a Comment