Nahodha wa timu ya wanawake ya Sala kutoka eneo la Muruseni Ukerewe Malgareth Selemani akionyesha laki saba za ubingwa |
Nahodha wa timu iliyoshika nafasi ya kwanza wanaume Bandiho Ignas akionyesha laki tisa. |
washindi wa pili wanaume timu ya Yatakamoyo kutoka ngoma wakifurahi baada ya kuwasili. |
No comments:
Post a Comment