Pages

Saturday, September 23, 2017

Wasanii watakaokiwasha Tigo Fiesta Mwanza watembelea Duka la Tigo

Wasanii walio katika list ya watumbuizaji wa Fiesta jijini Mwanza wakishuka kwenye gari kuingia katika duka la Tigo Jijini Mwanza mapema leo mchana.



Mteja wa mtandao wa Tigo Edith Shekifu, akipokea zawadi kutoka kwa msanii wa hip hop Fareed Kubanda(Fid Q) ndani ya duka la Tigo eneo la Samaki barabara ya Stesheni jijini Mwanza.


Mteja wa mtandao wa Tigo Kilinga James, akipokea zawadi kutoka kwa msanii wa hip hop Fareed Kubanda(Fid Q) ndani ya duka la Tigo eneo la Samaki barabara ya Stesheni jijini Mwanza.


Wasanii wa bongo fleva Fareed Kubanda(Fid Q) na Rayvanny wakimpa zawadi mteja Lidya Mtamizi, kwenye duka la Tigo eneo la Samaki barabara ya Stesheni jijini Mwanza.


Msanii bongofleva Rayvanny akipiga selfie na mteja wa Tigo, kwenye duka la Tigo eneo la Samaki barabara ya Stesheni jijini Mwanza.

No comments:

Post a Comment