Pages

Wednesday, September 27, 2017

LWANDAMINA, HAFIDH WAMWANGUKIA MPIGAPICHA KUHUSU SAKATA LA CHIRWA

 Kocha wa Yanga, George Lwandamina (katikati) akimuomba mpiga picha wa New habari, John Dande (kulia) kumsamehe mchezaji wa timu hiyo, Obrey Chirwa kutokana na kitendo alichomfanyia
cha kumshambulia mwilini
 Kocha wa Yanga, George Lwandamina (katikati) akimuomba mpiga picha wa New habari, John Dande (kulia) kumsamehe mhezaji wa timu hiyo, Obrey Chirwa kutokana na kitendo alichomfanyia


Mchezaji wa Yanga, Obrey Chirwa wa pili (kushoto), alimpiga picha aliyempiga picha wa New Habari 2006 Ltd, John Dande (kulia)  wakati wa kusuluhisha mgogoro wake na mpiga picha huyo kutokana na mchezaji huyo kushambulia jana

No comments:

Post a Comment