Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars baada ya jana kuanza Vizuri
michuano ya COSAFA 2017 itamalizia mechi zake mbili hatua ya Makundi kwa
kucheza na Timu za Angola na Mauritius.
27.6.2017 Angola vs Tanzania
Angola vs Tanzania Mechi hii Itachezwa katika uwanja wa Royal Bafokeng huko Rustenburg Afrika Kusini, Kuanzia saa Mbili na Nusu Usiku (2030 Hours)
29.6.2017 Tanzania vs Mauritius
Mechi ya Mwisho kwa Tanzania Hatua ya Makundi Itachezwa kuanzia saa
kumi na Mbili Jioni (1800 hrs)katika uwanja wa Moruleng Kaskazini Magharibi mwa Afika Kusini.
No comments:
Post a Comment