Castle Lite Unlocks Vanessa Mdee atapanda jukwaa moja na Cassper Nyovest, Diamond na Future
Meneja Masoko wa Bia laini Afrika Mashariki, Amou Majok
(kushoto) akiwa pamoja naVanessa Mdee juzi jijini Dar, wakati Meneja huyo
akitangaza kuhusu msanii huyo kushiriki katika tamasha la Castle Lite Unlocks
litakalofanyika mwezi Julai. Kulia ni Meneja Msaidizi wa Chapa ya Bia laini,
Isaria Kilewo.
Vanessa Mdee akizungumza jambo Meneja Msaidizi wa Chapa
ya Bia laini, Isaria Kilewo mapemamwishoni wa wiki iliyopita jijini Dar wa kutangaza
kuhusu msanii huyo kushiriki katika tamasha la Castle Lite Unlocks
litakalofanyika mwezi Julai.
Vanesa Mdee akikata keki
Vanessa Mdee akifurahi jambo wakati wa kutangazwa kuungana na wasanii wengine katika tamasha la Castle Lite Unlocks litakalofanyika mwezi Julai.
No comments:
Post a Comment