Ushindi
huu wa Man United si tu ni mzuri kwao bali umewaachia maswali mengi
Vinara hao wa England msimu huu wakiwa mbele kwa pointi 4 tu nyuma ya
Timu ya Pili Tottenham Hotspur ambao wana alama 75 na Spurs 71. Bao za
Man United hii leo zilifungwa na Rasford dakika 7 na lile la kipindi cha
pili la Ander Herrera dakika ya 49. Mechi inayofuata kwa Man United
itachezwa wiki ijayo huko genini Burnley siku ya Jumapili tarehe 23.Jose MourinhoBao
la pili la Man United limefungwa na Ander Herrrera baada ya kuachia
shuti kali ndani ya 18 na mabeki wa Chelsea kujichanganya na Man United
kupata bao la pili dakika ya 49.Rashford (kushoto) akipongezwa kwa bao kipindi cha kwanza dakika ya 7Dakika
ya 7 tu Man united walipata bao la kuongoza kipindi cha kwanza kupitia
kwa Rashford aliyewachomoka mabeki wa Chelsea na kufunga bao. Man
Unitedwanaongoza bao 1-0 dhidiya Chelsea.
VIKOSI:
Manchester United wanaoanza XI: De Gea; Valencia; Bailly; Rojo; Darmian; Fellaini; Herrera; Young; Pogba; Lingard; Rashford
Akiba: Romero; Blind; Fosu-Mensah; Shaw; Carrick; Mkhitaryan; Ibrahimovic
Chelsea wanaoanza XI: Begovic; Azpilicueta; Luiz; Cahill; Moses; Kante; Matic; Alonso; Pedro; Costa; Hazard
Akiba: Eduardo; Zouma; Terry; Loftus-Cheek; Fabregas; Willian; Batshuayi

No comments:
Post a Comment