Mikel, mwenye Miaka 29, alijiunga na Chelsea akiwa na Miaka 19 akitokea Klabu ya Norway Lyn Mwaka 2006 na kucheza Mechi 374.
Lakini Msimu huu, chini ya Meneja Mpya Antonio Conte, Mikel hajacheza hata Mechi moja na hilo limemfanya ahame.
Akiaga, Mikel alitoa Shukran kwa Mmiliki wa Chelsea Roman Abramovich pamoja na Mashabiki wa Klabu hiyo
No comments:
Post a Comment