Sunday, May 1, 2016
DIAMOND PLATINUMS AWAPAGAWISHA VILIVYO WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA
Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao( wa tatu toka kushoto) pamoja na wafanyakazi wenzake wakifurahia moja ya nyimbo za mwanamuziki Nasib Abdul”Diamaond Platinum’s” alipokuwa akitumbuiza wakati wa hafla ya kuwatunuku zawadi wafanyakazi bora wa kampuni hiyo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.Msanii mahiri wa Mziki wa kizazi kipya,Nasibu Abdul 'Diamond Platinum’s ' akitumbuza vilivyo wakati wa hafla ya kuwatunuku zawadi wafanyakazi bora wa Vodacom Tanzania mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakicheza na Mwanamuziki anayetamba katika medani ya muziki wa kitaifa na Kimataifa ,Nasibu Abdul 'Diamond Platinum’s ', wakati wa hafla ya kuwatunuku zawadi wafanyakazi bora wa kampuni hiyo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment