Jumapili iliyopita Arsenal ilipigwa 3-2 na Man United huko Old Trafford na Jana wakiwa kwao Emirates wengi walitegemea kuwa Arsenal itamaliza hasira zao kwa Swansea lakini wakajikuta wakipigwa 2-1 licha ya wao kutangulia kufunga.
Nae Paul Scholes, Mchezaji wa zamani wa Man United ambae sasa ni Mchambuzi kwenye TV, amesema ile imani yake kuwa Arsenal Msimu huu itatwaa Ubingwa baada ya kuukosa Miaka 12 sasa imetoweka.
Aliongeza: "Wameshindwa kupata matokeo Gemu kubwa na muhimu na nadhani mwishoni mwa Msimu kama Wenger hapati Ubingwa atakuwa na presha kubwa!"
Nacho Monreal
Kevin Quigley
Kipa Cech
No comments:
Post a Comment