Pages

Wednesday, March 23, 2016

KIKOSI KITAKACHOANZA DHIDI YA CHAD


Kocha Mkwasa
Kocha Mkwasa

Wakati muda ukisubiriwa kwa timu ya taifa Taifa Stars kushuka dimbani kukipiga dhidi ya Chad huko D’Njamena,kocha mkuu wa Charles Boniface Mkwasa ametangaza kikosi kitakachoanza katika mchezo huo wa kuwania tiketi ya kushiriki michuano ya mataifa ya afrika.
1-Aishi Manula 2-Shomari Kapombe 3-Haji Mwinyi 4-Erasto Nyoni 5-Kelvin Yondani
6-Himidi Mao 7-Thomas Ulimwengu 8-Jonas Mkude 9-Mwinyi Kazimoto 10-Mbwana Samatta
11-Farid Mussa
WACHEZAJI WA AKIBA
Ally Mustapha,Mohamed Husein,John Bocco,Siza Kichuya
Kiksoi cha Stars
Kikosi cha Stars

No comments:

Post a Comment