2-0 Jamie Vardy tena dakika ya 72 alipachika tena bao na kufanya 2-0 dhidi ya Majogoo wa Anfield.Vardy akiachia shuti na kuzama moja kwa moja langoniVardy akipongezwa baada ya kuipatia bao la pili Leicester CityJamie
Vardy dakika ya 60 anaitungua Liverpool na kuwaamusha Mashabiki kwenye
Viti kwa bao lake Matata na kuipa bao la kwanza Leicester City (1-0)
dhidi ya Liverpool.Kipute kikiendelea...Shinji Okazaki akimcheki kipa wa Liverpool Simon MignoletLeicester wako tayari kupambana kufa na kupona ili waweze kujibakisha Kileleni usiku huu...VIKOSI:
Leicester: Schmeichel, Simpson, Morgan, Huth, Fuchs, Mahrez, Kante, Drinkwater, Albrighton, Okazaki, Vardy.
Akiba: King, Gray, Ulloa, Dyer, Wasilewski, Chilwell, Schwarzer.
Liverpool: Mignolet, Clyne, Lovren, Sakho, Moreno, Henderson, Lucas, Can, Milner, Firmino, Lallana.
Akiba: Toure, Benteke, Allen, Ibe, Flanagan, Ward, Teixeira.
Refa: Andre Marriner

No comments:
Post a Comment