Nonga amesaini mkataba wa miaka miwili
Mchezaji mwingine ambaye Yanga imefanikiwa kumsainisha mkataba ni Mniger Issoufou Garba ambaye amepewa mkataba wa mwaka mmoja.
Endapo atafanikiwa kuwashawishi viongozi kwa kuonyesha kiwango kizuri, Garba anaweza kuongezewa mwaka mwingine.

No comments:
Post a Comment