Ni kitu kizuri sana kukuta sanaa ya Tanzania inatoboa na kugusa vichwa vya habari nje ya mipaka ya Tanzania, kama vile ambavyo tumeona Tunzo kadhaa za muziki zikiletwa nyumbani na mastaa wetu kutoka nje ya mipaka.
Hii listi ya mastaa ambao wamefanikiwa kuwa sehemu ya walioingia kwenye category za Africa Magic Viewers’ Choice Awards (AMVCAs).
Kwenye list ya Watanzania wako na hawa:
1: Staford Kihore (Movie ya Mpango Mbaya)
2: Josephat Lukaza (Movie ya Kitendawili)
3: Elizabeth Michael ‘Lulu’ (Movie ya Mapenzi ya MUNGU)
4: Amil Shivji (Movie ya Samaki Mchangani)
List ya washiriki wote hii hapa mtu wangu, na Watanzania wetu wote ndani.
Unaweza kuingia kwenye link hii kwa ajili ya kupiga kura amvca2016
No comments:
Post a Comment