Mholanzi huyu kwa sasa ni Meneja wa Timu ya Taifa ya Australia na huko tayari wameshatoa ujumbe wa Twitter kwamba ametua Chelsea lakini wakaurekebisha na kudai ni mmoja wa Wagombea wa Nafasi ya Umeneja.
Hii Leo, Mmiliki wa Chelsea, Roman Abramovich, alinaswa yuko Cobham, Kituo cha Mazoezi cha Chelsea Jijini London na wengi wametafsiri hilo ni kumkaribisha Hiddink kwa mara ya pili.
No comments:
Post a Comment