Pages

Saturday, November 7, 2015

RUFAA YA JOSE MOURINHO YATUPILIWA MBALI, KUKAA JUKWAANI DHIDI YA STOKE CITY

Shirikisho la soka la Uingereza limeitupilia mbali rufaa ya Mourinho aliyoikata kupinga kufungiwa kuingia uwanjani Jumamosi na kulipa faini ya £50,000.
Alipewa adhabu hiyo baada ya kusema kuwa marefa walikuwa wanaogopa kuipa Chelsea penalti ndiyo maana akafungwa na Southampton.
Kwa hivyo ataikosa mechi yao ya kesho dhidi ya Stoke City, labda utokee muujiza adhabu yake ilegezwe.
Jose Mourinho

No comments:

Post a Comment