Wachezaji
wa Prisons wakimzonga mshambuliaji Msenegali wa Simba SC, Pape
Abdoulaye N'daw kumshinikiza avue hirizi katika mchezo wa Ligi Kuu ya
Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. Prisons
ilishinda 1-0
Mwishowe refa alimuamuru N'daw arudi kwenye chumba cha kuvalia akakaguliwe
N'daw 'akimtisha' mchezaji wa Prisons aliyemshupalia amevaa hirizi
N'daw
akiingia kwenye chumba cha kubadilishia nguo ili kukaguliwa wakati
ambao mchezo ulisimama kwa dakika nne kipindi cha kwanza
Watu 'waso haya' wanapiga chabo madirishani wakati N'daw anakaguliwa chumbani
N'daw anarejea uwanjani baada ya kukaguliwa
Mchezaji wa Prisons aliyedai N'daw ana hirizi akionywa kwa kadi ya njano kabla ya mchezo kuendelea
|
No comments:
Post a Comment