Pages

Saturday, October 31, 2015

JOSE MOURINHO KIBARUA MASHAKANI DARAJANI BAADA YA KIPIGO CHA 3-1 DHIDI YA LIVERPOOL

Pongezi!Jose akibaki mdomo wazi hii leo baada ya kuchapwa bao 3-1 na LiverpoolPhilippe Coutinho akiifungia bao la pili Liverpool na kufanya 2-1, Bao la Chelsea lilifungwa mapema dakika ya 4 na Ramires nao Liverpool walifunguka na kuongeza mashambulizi na kupata bao mbili kupitia kwa Coutinho dakika ya 45 kipindi cha kwanza na lile la dakika ya 74. Bao la tatu lilifungwa na Christian Benteke aliyeingia kipindi cha pili na kuipa bao la tatu na kufanya 3-1 dhidi ya Wenyeji Chelsea na kwenye Uwanja wao Stamford Bridge.2-11-1
VIKOSI:
Chelsea:
Begovic, Zouma, Cahill, Terry, Azpilicueta, Mikel, Ramires, Willian, Oscar, Hazard, Diego Costa.
Akiba: Amelia, Baba, Matic, Fabregas, Kenedy, Falcao, Remy.

Liverpool: Mignolet, Clyne, Skrtel, Sakho, Moreno, Lucas, Can, Milner, Lallana, Coutinho, Firmino.
Akiba: Bogdan, Lovren, Benteke, Allen, Ibe, Teixeira, Randall.
Refa: Mark Clattenburg

Roman Abramovich must decide if he is to sack Mourinho but will wait until after the Liverpool gameChelsea manager Jose Mourinho remains under pressure ahead of the showdown with Liverpool

No comments:

Post a Comment