CRISTIANO RONALDO AFUNGA BAO LA 500 REAL MADRID IKIIFUNGA MALMO FF 2-0 KWENYE LIVE UEFA CHAMPIONS LEAGUE
Cristiano
Ronaldo akishangilia bao lake baada ya kuifunga timu ya Malmo kwenye
Uwanja wa Swedbank Stadium na huku likiwa bao lake la 500 kisoka,
Dakika ya 90 pia aliipatia bao la pili Real Madrid 1-0 Ronaldo akishangilia
Ronaldo akizungukwa na wenzake kupongezwa baada ya kuweka historia
kwenye maisha yake ya kisoka leo hii kwenye mchezo wa UEFA Champions
Ligi Cristiano
Ronaldo alifunga bao dakika ya 29 na likiwa bao lake la 500 kisoka.
Dakika ya 90 Ronaldo alifunga tena bao la pili na mtanange kumalizika
kwa bao hizo 2-1. Malmö FF v Real Madrid
No comments:
Post a Comment