Pages

Monday, October 5, 2015

ATLETICO MADRID NA REAL MADRID YATOKA SARE, LUCIANO VIETTO AIBANA REAL

Real Madrid wamepata bao kupitia kwa Karim Benzema dakika ya 9, Luciano Vietto wa (Atlético de Madrid) aliisawazishia bao dakika ya 83 na kufanya mtanange kumalizika kwa dakika 90 kwa sare ya 1-1. 

No comments:

Post a Comment