Arsene
Wenger, ambae Jose Mourinho aliwahi kumbatiza kuwa ni ‘Mtu Spesho wa
Kufeli’, ameweka Rekodi mpya huko Ulaya kwa kuwa Meneja wa kwanza wa
Klabu aliefungwa Mechi 50 za UEFA CHAMPIONS LIGI.
Pengine Rekodi hii ya kushindwa
hastahili Mtu aliefanikiwa kutwaa Ubingwa Ligi Kuu England mara 3 na
kubeba FA CUP mara 6 lakini Jana, baada ya kuchapwa 2-1 huko Zagreb na
Dinamo Zagreb katika Mechi yao ya kwanza ya Kundi F la UEFA CHAMPIONS
LIGI, Wenger ndio rasmi ameshika Rekodi ya kuwa wa kwanza kufungwa Mechi
50 katika Mashindano hayo. Huu
ni Msimu wa 18 kwa Wenger kwenye UEFA CHAMPIONS LIGI akiwa na Arsenal
lakini hajawahi hata mara moja kubeba Kombe hilo na alifika Fainali mara
moja tu. Hata hivyo, licha ya takwimu hii ya kufungwa mara 50
kumdidimiza Wenger lakini pia inaonyesha mafanikio yake makubwa ya
kuhakikisha Mwaka nenda rudi Arsenal inashiriki UEFA CHAMPIONS LIGI kitu
ambacho hakikutwi na Meneja mwingine yeyote huko England kwa sasa.
MATOKEO YA USAILI TRA KUTANGAZWA APRILI 25.2025
-
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa matokeo ya Usaili wa
maandishi uliofanyika Machi 29 na 30 mwaka 2025 kwa watahiniwa walioomba
nafasi za...
SIMBA SC YACHAPWA MABAO 2-0 NA AL MASRY
-
TIMU ya Simba SC imechapwa mabao 2-0 na wenyeji, Al Masry katika mchezo wa
kwanza wa Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika leo Uwanja wa New Suez
mjini...
DKT. NCHIMBI ATUA MASASI KUANZA ZIARA TUNDURU
-
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi
ametua Uwanja wa Ndege wa Masasi, mkoani Mtwara, akiwa safarini kuelekea
Tun...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
TAKUKURU Kubaini Mamluki Michezo Mei Mosi 2020
-
*Wajumbe wa Kamati ya Michezo ya mashindano ya Mei Mosi wakiwa kwenye kikao
cha Kwanza cha maandalizi ya michezo hiyo kilichofanyika mwishoni mwa wiki
k...
Gabon : Daniel Cousin a (enfin) signé son contrat
-
Sortie de crise à Libreville. Le sélectionneur du Gabon, Daniel Cousin, a
enfin signé le contrat qui le lie à l'équipe nationale de football. Les
termes de...
Itazame Simulizi mpya iliyopewa jina la ‘Kinyago’
-
Kwa nafasi ya upendeleo New Talents tunachukua fursa hii kukupa nafasi ya
kwanza kuitazama hii video ya Simulizi mpya iliyo beba ujumbe mkubwa
unaotakiwa ...
Giroud ajiunga na Chelsea
-
Chelsea imekamilisha usajili wa Oliver Giroud kutoka Arsenal kwa ada ya
paundi milioni 18. Washika mitutu wamekubali kumuuza Giroud kwa wapinzani
wao wa ...
Post a Comment