Pages

Saturday, September 26, 2015

MASHABIKI WAPANIA MECHI YA SIMBA vs YANGA LEO


Barabara zote za Jiji la Dar es Salaam zitaelekea Uwanja wa Taifa kushuhudia Klabu kongwe Nchini Tanzania, Simba na Yanga, zenye Makao Makuu yao Eneo la Kariakoo Jijini humo, zikipambana katika pambano la Ligi Kuu 


LIGI KUU VODACOM
RATIBA
Jumamosi Septemba 26

Simba vs Yanga
Coastal Union vs Mwadui
Tanzania Prisons vs Mgambo Shooting
JKT Ruvu vs Stand United (Uwanja wa Karume, Dar es salaam)
Mtibwa Sugar vs Majimjaji
Kagera Sugar vs Toto Africans (Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora)

Jumapili Septemba 27
Azam FC vs Mbeya City
African Sports vs Ndanda FC 

Kiiza apania kuifunga Yanga Sc

No comments:

Post a Comment