Pages

Tuesday, September 15, 2015

MANCHESTER CITY WAFANYA MAZOEZI KUJIANDAA DHIDI YA JUVENTUS KWENYE UEFA CHAMPIONS LEAGUE, SERGIO AGUERO NJE! RAHEEM NA SILVA WAFANYA MAZOEZI

Raheem na Silva wamejiunga na kufanya mazoezi pamoja na Wenzao tayari ya mchezo wao kesho jumanne dhidi ya Juventus usiku Wakipata somo kutoka kwa Meneja waoBony na Mangala pamoja na Raheem Sterling
Yaya Toure na Silva

No comments:

Post a Comment